HOUSE MUSIC

Download Saraphina In Love Mp3 Download

37,068 Download Saraphina In Love Mp3 Download Full music MP3 Or MP4 Video and Audio Music Saraphina _ In Love (Official_Video) By Saraphina Tz with Big 37,068 views stream songs and size 5.06 MB for 03:41

Music Saraphina In Love Mp3 Download 100% FREE!

Saraphina In Love Mp3 Download

★ HOUSE MUSIC helps download your favourite mp3 songs download fast, and easy. Saraphina In Love Mp3 Download mp3 download from HOUSE MUSIC. If you feel you have liked it Saraphina _ In Love (Official_Video) mp3 song then are you know download mp3, or mp4 file 100% FREE! Download your favorite mp3 songs, artists, remix on the web. Find the latest music here that you can only hear elsewhere or download here.

Mmmmh...mmhhh
Kila kwenye ndoto zangu
Naotaga kuwa na wewe
Hata nikisema naugua (ah)
Dawa nahisigi wewe
Unaishi mawazoni mwangu
Furaha ya mi ni wewe
Hata nikisema naugua (ah)
Dwa nahisi ni wewe
Na sio kwamba siwezi kupata mwingine
Ila moyo
Sio kwamba sipati kutakiwa (ah)
Mi amor

Sio kwamba siwezi kupata mwingine (eeh)
Sio kwamba sipati kutakiwa (aah)

Brige:
Na wala sio zoba, nazi, koroma (ah)
Kinacho matter ni upendo upendo (koroma)
Mi sina uzoba ,ama ukoroma
Kinacho matter ni upendo upendo
Na ninakupendaaaa

Chorus
I’m in love with you
I'm in love, I'm in love
I'm in love with you
I'm in love, I'm in love (na ninakuaminia)
I’m in love with you (we na mi)
I'm in love, I'm in love

Verse 2
Navuta picha labda si tukitengana
Na nilivyopenda hivi uhisi itapoa (doro doro)
Siipati picha ila siku ya kuoana (aah)
Na tusipotenda hivi hudhani itaboa (dorodoro)
Mapenzi matamu tupendane
Wabaya washindwe kushauri
Uwe wangu wa milele tufanane
Mi kwako ndo sina hata kauli

Bridge:
Na wala sio zoba, nazi, koroma
Kinachomata ni upendo upendo (koroma)
Mi sina uzoba ama ukoroma (ah)
Kinachomata ni upendo upendo
Na ninakupendaa

Chorus:
I’m in love with you
I'm in love, I'm in love
I’m in love with you
I'm in love, I'm in love

★ Tap play to play the songs in the playlist...